Friday, January 27, 2012

TOMORROW IS THE DAY WE HAVE ALL BEEN WAITING FOR USIKOSE KUANZIA SAA NNE ASUBUI(10:00AM)

 Hey dolls, hope your good. Tomorrow is the day we have all been waiting for. New stock ni nyingi sana kwahiyo naomba umwambie Shostito wako wa karibu habari njema hii. Duka letu kwa sasa limefungwa kwaajili yakupanga nguo vizuri kwenye hanger, litafunguliwa saa nne asubui Jumamosi tarehe 28/01/2012(kesho) ili tuweze kumpa kila mtu fursa ya kuweza kufika on time.

Wapenzi hii ndio ramani yakufika kwenye duka letu. Hope the map is detailed enough. Tunapatikana makumbusho karibia na usalama wa taifa. Opposite na main entrance ya geti la Usalama wa Taifa kuna showroom ya magari(SAMOYAZ) na restaurant (GOLDEN FORK). Unaingia hiyo njia (ambayo piya zamani ma basi ya kwenda mwenge yalikua yanaingilia). Ukifika mwisho wa njia unakata kushoto, mtaa wa kwanza kulia uwache then ingia kwenye mtaa wa pili kulia njoo mpaka  mwisho wa mtaa ndio utakua umefika.Clutch hizi mbili ya juu na chini ni za New Look 35,000/-
Hii Clutch ni ya Jane Norman 35,000/-

comfortable chunky heels za kazini cha juu size 5 (38) na cha chini size 4 (37)

No comments:

Post a Comment