Tuesday, January 31, 2012

SPOT THE TREND: PASTEL HUES

Hello beautiful people, hope your day has started great. Leo kwenye SPOT THE TREND nawaletea ingizo jipya ambalo ni kuvaa rangi zisizo waka sana. Najua bright colours zimekua zinapendwa sana kwasababu ya ku colour block( bado hazijatoka kwenye fashion) lakini pastel hues nazo zimeingia. When i say pastel hue think of soft pale colours like lavender, pale yellow, baby blue, pale or muted pink, pale green,blush tones e.t.c.

STAY FABULOUS!!!!

Monday, January 30, 2012

Sunday, January 29, 2012

DRESS TRENDS 2012

Hello dolls, hope your good. Three days of not blogging feels like forever. Mungu ni mwema, thanks everyone for coming yesterday and today for the grand opening of new stock. SHAMIM mpenzi ubarikiwe na bwana, ukarimu ulio nionyesha na support yako mungu akufadhili na wewe pia. TEDDY mpenzi ubarikiwe kwa kunirusha na kuwaambia watu waje. Tanzania ingejaa wanawake kama nyie wenye ushirikiano wanawake tungeinuka sana.Mbarikiwe sana. So i had an idea of taking pictures of the whole event ili niirushe kwenye blog but unfortunately the turn up was amazingly overwhelming nikashindwa kuchukua kodak moment so kwawale mlio shindwa kuja jana au leo bado mnakaribishwa mzigo mpya wa ukweli upo. Leo nimeona ni post dress trends za 2012. Tunavyo zidi kusonga mbele nitakua nawaelezea jinsi yakuvaa hizi trends kwa leo nazionyesha kwa juu juu. Based on spring/summer 2012 collections za ma designer kibao hii mitindo imeonekana kujirudia rudia.

 1. Assymetrical dresses- dresses zenye urefu tofauti(eg mbele fupi nyuma ndefu au pembene upande  mmoja mrefu mwingine mfupi

2. Boat neck dresses- mkato wa shingoni unakua mpana toka bega hadi bega

3. Plunging neckline dresses- hii sijui niiiteje shingo mlegezo.lol

4. Lace dresses- gauni za lesi

5. Glitter &sequine dresses- ming'ao ng'ao

6. Mini dresses- vigauni vifupi

7. Midi dresses- gauni zilizo refu kidogo chini ya magoti

8. White dresses- gauni nyeupe

9. Peplum dresses- gauni zenye kibwebwe

10. Sheer airy maxi dresses- gauni la maxi lenye kitambaa chepesi na transparent

11. Floral dresses- magauni yenye print za maua

STAY STYLISH !!!

Friday, January 27, 2012

TOMORROW IS THE DAY WE HAVE ALL BEEN WAITING FOR USIKOSE KUANZIA SAA NNE ASUBUI(10:00AM)

 Hey dolls, hope your good. Tomorrow is the day we have all been waiting for. New stock ni nyingi sana kwahiyo naomba umwambie Shostito wako wa karibu habari njema hii. Duka letu kwa sasa limefungwa kwaajili yakupanga nguo vizuri kwenye hanger, litafunguliwa saa nne asubui Jumamosi tarehe 28/01/2012(kesho) ili tuweze kumpa kila mtu fursa ya kuweza kufika on time.

Wapenzi hii ndio ramani yakufika kwenye duka letu. Hope the map is detailed enough. Tunapatikana makumbusho karibia na usalama wa taifa. Opposite na main entrance ya geti la Usalama wa Taifa kuna showroom ya magari(SAMOYAZ) na restaurant (GOLDEN FORK). Unaingia hiyo njia (ambayo piya zamani ma basi ya kwenda mwenge yalikua yanaingilia). Ukifika mwisho wa njia unakata kushoto, mtaa wa kwanza kulia uwache then ingia kwenye mtaa wa pili kulia njoo mpaka  mwisho wa mtaa ndio utakua umefika.Clutch hizi mbili ya juu na chini ni za New Look 35,000/-
Hii Clutch ni ya Jane Norman 35,000/-

comfortable chunky heels za kazini cha juu size 5 (38) na cha chini size 4 (37)

Thursday, January 26, 2012

ONE MORE DAY TO GO


Hello dolls, it's yet another beautiful day and i'm thankful and greatful for being able to share more pictures with you all. One more day to go so please tell a friend(s) incase you haven't .


AHADI NI DENI. kama nilivyo waahidi kua "Top Handle Bags" zitakuwepo,ndio hizo hapo chini 


 Begi la brown na la black hapo juu  ni elfu 60,000/-. Napenda kuwajulisha kua kuanzia sasa nitakua naleta hand bags za elfu 60,000/- kwa order yani mtu akitoa order nitamletea otherwise mabegi yote ni elfu 35,000/- tuu.


MABEGI YOTE HAPA CHINI NI 35,000/- TUU


STAY FABULOUS!!!!!!

Wednesday, January 25, 2012

NEW STOCK THIS SATURDAY (28/01/2012) PLEASE RESERVE THE DATE

Hey dolls, hope you are counting down the days with me. Saturday is so near so please make sure you make it a point to visit us on that day. All tops are 15,000/-, dresses range between 20,000- 40,000/-, trousers 20,000-30,000/- and handbags & clutch 35,000/-.  Wote mnakaribishwa 
Tuesday, January 24, 2012

KI OFISI ZAIDI

Hello Precious viewers, hope you are all good. Please make sure you reserve this saturday 28/01/2012 so that you can experience shopping latest trends at extremly low prices. It's a once a month experience that every woman in Dar must not miss. I'm still counting down days. Hope to see you then much love.Shirts na blouse ni elfu 15,000/- tuu , suruali na skirt  ni 20,000 na handbag na clutch ni 35,000/- wote mnakaribishwa tarehe 28/01/2012.

HANDBAGS KWA ELFU 35,000/- TUU


Monday, January 23, 2012

SPOT THE TREND:SHEER SLEEVES
Usikose tarehe 28/01/2012 Sheer sleeve blouse na dresses zitakuwepo kwa bei nafuu.

STAY FABULOUS!!!

3 WAYS TO WEAR HIGH WAIST WIDE LEG PANTS

JANUARY STOCK SNEAK PEAK


HIZI NGUO ZOTE UNAZO ZIONA HAPO JUU ZITAKUWEPO TAREHE 28/01/2012 TUNAOMBA USIKOSE. TOPS ZOTE NI ELFU 15,000/- TUU NA SURUALI ZINA RANGE KATI YA ELFU 20,000/- MPAKA 40,000/-. WOTE MNAKARIBISHWA. TUNA UZA NGUO ZA SIZE 8-22 (UK SIZE) WOTE MNAKARIBISHWA. 

STAY STYLISH!!!!

Sunday, January 22, 2012

SPOTTED NAIMA ROCKING SHOPAHOLIC

Spotted Naima rocking SHOPAHOLIC. I love the combination of high waist shorts with tights and chunky sole Marry Jane shoes.  

THIS IS HOW CELEBRITIES ARE ROCKING THEIR SHORTS

Shorts come in different shapes,size,colour and design. Shorts can be dressed down for the beach or can be glammed up for a night out. Whatever the case shorts are easy go to item when in need of something to wear as its very easy to wear. 

Usikose tarehe 28/01/2012 Shorts nazo zitakuwepo.

STAY FABULOUS!!!!!

Friday, January 20, 2012

SHOPAHOLIC LOOK ALIKE: KATE MIDDLETON'S SHEER BLUE DRESS

For a day look kate opted for a Black- blazer, skinny belt and pumps.

For a night look paired the blue dress with Pearl dingling earrings Slinky gold and silver chain, big Pearl Ring, Coral blazer( it looks red because of the lighting) and black peep toe sling back heels.

USIKOSE TAREHE 28/01/2012 HILI GAUNI KAMA LA KATE NALO LITAKUWEPO.

STAY STYLISH!!!!!!! 

Thursday, January 19, 2012

SHOPAHOLIC LOOK ALIKE: MICHELLE OBAMA'S PURPLE DRESS

Hello beautiful people, leo kwenye SHOPAHOLIC LOOK ALIKE nime feature purple dress ya michelle Obama ambayo inapatikana SHOPAHOLIC kwa elfu 40,000/- tuu.
Hii purple dress ni ya Mark & Spencer size 10(UK) 40,000/-, black skinny belt 5,000/-, handbag 35,000/- na Viatu 25,000/-. Usikose tarehe 28/01/2012 hivi vitu vyote vitakuwepo.


 

SNEAK PEAK: NEW STOCK HANDBAGS

Hello dolls, hope you're all good.Sneak Peak ya baadhi ya handbags zitakazo kuwepo tarehe 28/1/2012. Handbag zote ni 35,000/- tuu.

STAY FABULOUS!!!!!!