Wednesday, January 11, 2012

SHOPAHOLIC LOOK ALIKE: MICHELLE OBAMA'S KITTEN HEELS

NEW STOCK SNEAK PEAK

Hello beautiful people, hope your good. Leo natoa sneak peak ya kiatu ambacho kitakuepo kwenye NEW STOCK itakayo funguliwa mwisho wa mwezi huu(28/01/2012). Hichi kiatu ni cha NINE WEST na kwenye pita pita zangu nikamuona mama Obama nae anacho kiatu kama hichi. Kwa elfu 25,000/- tuu nawe unaweza ukapata kiatu kama cha mke wa Presida.


kiatu ni size 6 UK ( 39 EURO)
 
Kitten heel is a must have shoe for every woman. Je Kitten heel ni nini? Kwa wale tusio jua, kitten heel ni kiatu chenye kisigino chenye nchi kati ya moja na nusu na haizidi nchi mbili.Hichi kiatu sio kirefu lakini naamini kua ni muhimu kwa sababu mbili kuu.
1. Kiatu hiki kiko comfortable utafkiri ni flat shoes lakini chenyewe kipo more classy kwasababu ni kirefu kidogo zaidi ya flat shoes.
2. Kwasababu sio kirefu sana kama high heels basi ni rahisi sana kutembelea mda mrefu bila kuchoka.

No comments:

Post a Comment