Sunday, January 29, 2012

DRESS TRENDS 2012

Hello dolls, hope your good. Three days of not blogging feels like forever. Mungu ni mwema, thanks everyone for coming yesterday and today for the grand opening of new stock. SHAMIM mpenzi ubarikiwe na bwana, ukarimu ulio nionyesha na support yako mungu akufadhili na wewe pia. TEDDY mpenzi ubarikiwe kwa kunirusha na kuwaambia watu waje. Tanzania ingejaa wanawake kama nyie wenye ushirikiano wanawake tungeinuka sana.Mbarikiwe sana. So i had an idea of taking pictures of the whole event ili niirushe kwenye blog but unfortunately the turn up was amazingly overwhelming nikashindwa kuchukua kodak moment so kwawale mlio shindwa kuja jana au leo bado mnakaribishwa mzigo mpya wa ukweli upo. Leo nimeona ni post dress trends za 2012. Tunavyo zidi kusonga mbele nitakua nawaelezea jinsi yakuvaa hizi trends kwa leo nazionyesha kwa juu juu. Based on spring/summer 2012 collections za ma designer kibao hii mitindo imeonekana kujirudia rudia.

 1. Assymetrical dresses- dresses zenye urefu tofauti(eg mbele fupi nyuma ndefu au pembene upande  mmoja mrefu mwingine mfupi

2. Boat neck dresses- mkato wa shingoni unakua mpana toka bega hadi bega

3. Plunging neckline dresses- hii sijui niiiteje shingo mlegezo.lol

4. Lace dresses- gauni za lesi

5. Glitter &sequine dresses- ming'ao ng'ao

6. Mini dresses- vigauni vifupi

7. Midi dresses- gauni zilizo refu kidogo chini ya magoti

8. White dresses- gauni nyeupe

9. Peplum dresses- gauni zenye kibwebwe

10. Sheer airy maxi dresses- gauni la maxi lenye kitambaa chepesi na transparent

11. Floral dresses- magauni yenye print za maua

STAY STYLISH !!!

No comments:

Post a Comment