Monday, April 30, 2012

SPOTTED SHAMIM ROCKING SHOPAHOLIC


Leo kwenye SPOTTED ROCKING SHOPAHOLIC tunae mama Iqra a.k.a zeze. Looking hot Shamim, nimependa ulivyopangilia the whole outfit. Jamani ku mix print sio lazima iwe kwenye nguo tuu hata ukiamua ku mix nguo na handbag pia inanoga. So blouse ya Shamim ina polka dot print kubwa ku balance kabeba pochi yenye print ndogo. Job well done
STAY FABULOUS!!!

Sunday, April 29, 2012

I JUST FEEL LIKE BEING GRATEFUL THIS SUNDAY

I feel so blessed and my heart is filled with thanksgiving. I’m so thankful and grateful for all the people who took time to come to our shop yesterday. You truly are all precious and I value all of you. Your support surely makes me proud knowing I have people who appreciate what I do and share the same passion for fashion. To My lovely sister Cindy thanks for your support your surely the "best-est" sister on the planet. To the most wonderful, humble beautiful Model in the whole world Naima, thank you so much for being part of SHOPAHOLIC and always being readily available when I call you.Shamim thank you so much I’m grateful for you, your blog has helped me reach all the SHOPAHOLICS in Bongo and I can never stop thanking you. Chaba you are the sweetest friend ever. Thanks for just being you na pia kwa kazi ngumu unayo nisaidia yaku sort na kupanga mzigo, ubarikiwe sana. Thank you Teddy and Nafue for all the blog traffic I get from your blogs. Wateja wangu wote (mliokuja na hata mlioshindwa kuja kwasababu ya majukumu mengine) napenda kuwajulisha kuwa nawapenda na kuwathamini sana maana SHOPAHOLIC is surely nothing without you (this is not a cliché I truly mean it). See you 26/05/2012 tutakapo kua tunafungua mzigo mwingine. Kwa wale walio shindwa kuja siku ya kufungua mzigo bado upo karibuni sana

Friday, April 27, 2012

TOMORROW IS THE BIG DAY(28/4/2012)

Morning dolls, hope your all good. Kesho (28/04/2012) ndio siku tumekua tunaisubiria kwa mda mrefu. Make sure you don't miss doors open at 7am. This time around nimeamua ku post nguo za mitoko kwasababu nimekua napata simu kuulizwa kama ninaziuza, bei  ya dresses ina range between 20,000/- to 40,000/-. Lakini kwa wale wa penda office wear kama kawaida yetu nazo zitakuwepo. wote mnakaribishwa 


  


PENCIL DRESSES NAZO ZITAKUWEPO

 Pata swagga kama za Victoria Beckham ndani ya SHOPAHOLIC kwa bei nafuu. magauni yetu yana range between 20,000/- to 40,000/- Tsh. 

STAY FABULOUS!!!

Wednesday, April 25, 2012

PATA EVENING DRESSES ZA UKWELI KWA 40,000/-

Kwa wale wapenda mitoko kaeni tayari mzigo huu mpya tutakua na vigauni vya ukweli kwa elfu 40,000/- Tsh tuu. Hakikiasha hukosi JUMAMOSI hii tarehe 28/4/2012. 

H&M GRECIAN STYLE DRESS ndani ya SHOPAHOLIC

STAY TUNED FOR MORE UPDATES

STAND OUT OF THE CROWD

Tuesday, April 24, 2012

MAXIMUM IMPACT:SHOP OUR WIDE RANGE OF MAXI DRESSES

SNEAK PEAK 
Hello dolls, hope your all good. Jamani the day we have all been waiting for ndio inakaribia kufika. Don't miss this Saturday 28th April 2012 tunafungua mzigo mpya na mambo ndio kama tunavyoyaona hapo chini.

Maxi dresses are hot, they're stylish and elegant. For day or night and super-flattering for every size & shape. 

PARTY PIECE
For a glamorous evening out, invest in a beautifully cut maxi to make you feel amazing. This dress has sleeves that will cover your arms if you're not happy showing them off. Opt for chunky wedges to balance the look 

MAXI PRINTBOLD IN  NAUTICAL


COLOUR BLOCK

FLORAL BOUQUET

SHEER DELIGHT

Friday, April 6, 2012

THE BIG DAY IS FINALLY HERE

Hello dolls, the day we have all been waiting for is finally here. Make sure you don't miss this amazing experience of shopping quality clothes at pocket friendly prices. Doors open from 9am to 9:30 pm. Make sure you tell a friend.
Wapenzi hii ndio ramani yakufika kwenye duka letu. Hope the map is detailed enough. Tunapatikana makumbusho karibia na usalama wa taifa. Opposite na main entrance ya geti la Usalama wa Taifa kuna showroom ya magari(SAMOYAZ) na restaurant (GOLDEN FORK). Unaingia hiyo njia (ambayo piya zamani ma basi ya kwenda mwenge yalikua yanaingilia). Ukifika mwisho wa njia unakata kushoto, mtaa wa kwanza kulia uwache then ingia kwenye mtaa wa pili kulia njoo mpaka mwisho wa mtaa ndio utakua umefika.

Wednesday, April 4, 2012

NEW STOCK: MORE BEAUTIFUL BLOUSES

Hello dolls, hope your all good. One more day to go, I hope you are as excited as I am. Please spread the word but most of all don't forget to reserve the date 6th-9th April 2012. Doors open at 9:00am - 9:30pm.

Kutakua na Military Style blouse kwa elfu 15,000/- tuu

 
 Pastel coloured blouse zitakuwepo, good news nikwamba mpaka Pastel Blazer zitakuwepo this time so usikose

Pastel coloured blouse nazo zitakuwepo kwa elfu 15,000/- tuu

Neck tie blouse nazo zitakuwepo. Za kila rangi na pattern kwa elfu 15,000/- tuu

 
Blouse za kaba koo nazo zitakuwepo kwa elfu 15,000/- tuu 

STAY FABULOUS!!!


Sunday, April 1, 2012

NEW STOCK: SCARF PRINT BLOUSE COLLECTION

Fashionistas mshindwe wenyewe scarf print ndani ya SHOPAHOLICS kwa elfu 15,000/- tuu. Kama nilivyo wajuza hapo nyuma scarf print zilionekana kutawala kwenye runway za ma Designer wakubwa kibao kama vile D&G na Gucci (2012 resort collection). Mambo haya yote mazuri yatakuwepo Ijumaa hii inayokuja hakikisha hukosi. PLEASE RESERVE THE DATE 6TH-9TH APRIL.

APOLOGIES
My sincere apologies to all those who have been calling me but to no avail. I'm currently not in town, I promise to return all your calls. So ukipiga ukaona simu haijapokelewa naomba mniwie radhi. Niko katika mchakato wakuwasakia viwalo vya ukweli. THANKS FOR UNDERSTANDING.
STAY FABULOUS !!!

KUTAKUA NA SALE KABAMBE SIKU HIYO HIYO (6TH APRIL 2012)

Wapenzi ma SHOPAHOLICS wenzangu,kama nilivyokwisha waambia tarehe 6 sio ya kukosa. Tutakua na NEW STOCK na pia tutakua na SALE kabambe vitu vya ukweli kwa bei nafuu zaidi. Usikose hakikisha unamwambia na mwenzako.

NEW STOCK: POLKA DOT COLLECTION

Hello dolls, hope your all good and looking forward for Friday. Please make sure you tell a friend or sister it's a Shopping experience that nobody should miss. I have more GOOD NEWS, on top of the fact that we will be opening NEW STOCK tutakua na SALE kabambe siku hiyo hiyo. Vitu vya ukweli kwa bei nafuu zaidi.Hakikisha hukosi.Below nime post vionjo vya collection ya Polka dot. Please reserve the date Friday 6th through Monday 9th April .
 
Kwa elfu 15,000/- tuu unaweza kujipatia hii Polka dot Retro style blouse

Kwa elfu 15,000/- tuu unaweza kujipatia hii Polka dot Peter Pan collar blouse

Kwa elfu 15,000/- tuu unaweza kujipatia hii Polka dot ruffle blouse