Monday, April 30, 2012

SPOTTED SHAMIM ROCKING SHOPAHOLIC


Leo kwenye SPOTTED ROCKING SHOPAHOLIC tunae mama Iqra a.k.a zeze. Looking hot Shamim, nimependa ulivyopangilia the whole outfit. Jamani ku mix print sio lazima iwe kwenye nguo tuu hata ukiamua ku mix nguo na handbag pia inanoga. So blouse ya Shamim ina polka dot print kubwa ku balance kabeba pochi yenye print ndogo. Job well done
STAY FABULOUS!!!

1 comment:

  1. shamimi i really like your jamani sisi wa mikoani mtatusaidiaje maana vitu tunavoitamani but hauna jinsi ya kufika huko from moshi

    ReplyDelete