Friday, August 31, 2012

TOMORROW IS THE BIG DAY

Hey everyone, tomorrow is the day we have all been waiting for so make sure you don't miss a once a month breath taking shopping experience. Come and shop good quality clothes at pocket friendly prices. our prices range between 15,000 to 40,000/- shillings. Doors open from 7am. Wote mnakaribishwa.  

Mambo ya sheer sleeves na embellished cuffs hayo kwa elfu 15,000/- tuu

                                                               KI OFISI ZAIDIKI CASUAL ZAIDI

Mambo ya pleated shear maxi skirt yatakuepo hiyo kesho. usikose.Thursday, August 30, 2012

NEW STOCK THIS SATURDAY (1/ 09/ 2012)

Hello dolls, hope your all fabulous and doing good. Due to the fact that we were not able to open new stock last Saturday I'm happy to announce that new stock will be in this Saturday so please don't plan to miss.


MAMBO YA COLORED PANTS HAYO HAKIKISHA NAWEWE UNAJINYAKULIA YAKO JUMAMOSI HII KWA ELFU 40,000/- TUU

 mambo ya contrast collar high-low top hayo kwa elfu 15,000/- tuu
mint Skinny jeans kwa elfu 40,000/- tuu. ( Shoes model's own) 


                                                            ( Bag model's own)
KI OFISI ZAIDI 


Mambo ya scarf print tops na coloured skirts nazo zitakuwepo hiyo Jumamosi   

Mambo ya kuvaa neutral palette hayo (monochromatic). Hii inahusika kwa wale wanao penda Safari look.


KI MTOKO ZAIDI 

 


                                Wale wapenzi wa jumpsuit hakikisha hamkosi maana zitakuwepo


STAY BLESSED!!!

Tuesday, August 28, 2012

HAPPY BIRTHDAY DOREEN

Happy Tuesday precious viewers, I know I have been gone for a while but I'm back once again. Hope your weekend was great. Yesterday was Doreen's birthday so met up with the girls for a lunch date and we had so much fun catching up.

NEW STOCK
Sincere apologies to all who showed up at the shop this Saturday and we didn't have new stock in.GOOD NEWS is we will be opening NEW STOCK this coming Saturday(1/09/2012) starting from 7am. More good news : we have added 3 extra changing rooms just for you precious people.Please show us some love by telling your friends and family and most of all remember to reserve the date.    This is to all make up lovers introducing to y'all "MAC Ruby Woo Matte Lipstick" this is the perfect red lipstick for any occassion and any skin colour. Kwa wale msio ijua hii lipstick ni noumer yani inaendana na rangi ya kila mtu aisee. Kama wewe uko kama mimi unaogopa ku rock red lipstick I dare you to try this huto acha.

Kata keki tulee!!!

 B'day Girl


 ZARA nautical vest 15,000/-, Mustard ruffled top 15,000/-, pants 25,000/-, Handbag 35,000/- and shoes 30,000/-


  
Chocker (kaba Koo) kutoka 8020 fashions

 Kwa wale wapenzi wa Kitten heels (skuna fupi)  usikose Jumamosi (1/09/2012) zitakuwepo hakikisha una wahi ili ujinyakulie yakwako.

UNYWELE 

Kutokana na Email za kutosha nilizo pata post iliopita juu ya nywele nilivyobana, Leo nimeona ni share nanyi jinsi nilivyotengeneza hizi nywele. Ku create volume na kupata hiyo side bang ilio jaa nimeshonea lines mbili nyembamba za weaving hapo mbele kisha nika pasi alafu kwa nyuma nikasuka French braid ya mbinjuo yenye macho makubwa makubwa. Msusi akasuka mkia mrefu sana ambao akaushusha kwa chini yake na kaushonea kwahiyo inaonekana kama nimesuka nywele mbili wakati ni moja tuu. Viola!! as simple as ABC. lol. Hope you've learned something. 

Dressed by SHOPAHOLIC, mambo ya Peplum blouse na coloured skirt hayo usikose Jumamosi hii.
This big kiss is for all you SHOPAHOLIC precious customers, fans, supporters and well wishers. I'm truly grateful and thankful  for all of you.Asanteni, mbarikiwe na nawapendeni wote.

 STAY BLESSED!!!

Thursday, August 16, 2012

IMPORTANT INFORMATION

Hello fashion lovers, hope your all well. Sorry haven't been able to blog. This is just a quick post to notify you my beloved that we won't be attending DAR FASHION FESTIVAL. Naombeni mniwie radhi wapenzi najua nilikua nimepiga promo la nguvu kua tutakuwepo DFF lakini mambo yameingiliana nimeshindwa kurudi so i won't make it there before Saturday ambayo ndio siku ya DFF. with that said msikose mwisho wa mwezi mambo yote ya ukweli ambayo ungeyapata DFF yatakua dukani kwetu hakikisha hamkosi. Sorry for any inconvinience that i might have caused you. love you all and thanks once again for your support trully appreciate.

Thursday, August 9, 2012

SPOT THE TREND: FLUTED HEM

Hello darlings, hope your all good and nane nane was great. Today on SPOT THE TREND I have featured Hollywood fashionistas rocking the Fluted hem. The Fluted Hem can be in form of a skirt or a dress. This style is figure-flattering, it's slim along the waist and hips, with a flared, ruffled hem hitting anywhere from mid-thigh to right above the knee. Kinacho nishanganza ni kwamba Hollywood hii style ndio iko in sasa wakati ki bongo bongo hii ni moja ya mshono ambayo mafundi wengi wanapenda kushona. It is actually my go to style everytime nimealikwa kitchen party na sina mshono. What I usually do ni kushona ki skirt cha kibwaya then juu na vaa plain blouse. Kwenye pekua pekua kwenye archive ya picha ndani ya simu yangu this is what i came up with picha ya Doreen back in May na mimi hiyo picha nilipiga end of march au mwanzo wa may siko sure. So I decided to show you how Doreen & 1 rock our Fluted hem kitenge skirt.


Doreen is looking super hot. Love the way she has colour blocked the green skirt with purple heels. Simple sleek up do to finish her look. Absolutely amazing.
CURRENTLY TRENDING: Skirt ya kibwaya 

Choker (a.k.a kaba koo) asante Shamim

CURRENTLY TRENDING: Kuvaa chocker (a.k.a kaba koo) juu ya blouse/shirt

CURRENTLY TRENDING: Sandal heels

Skirts zetu zimeshonwa BC House of Fashion. Kwa masiliano nao piga  
0713 892919

STAY FABULOUS!!!