Tuesday, November 22, 2011

THE RETURN OF THE CUT-OFF TEE

        

Uzuri wa Fashion hua inajirudia. The cut-off tee au maarufu kama “KI JUST BECAUSE” enzi za 80 na early 90 imerudi tena kwenye ulimwengu wa fashion,na this time around zimerudi kwa kishindo maana zimerudi namuundo tofauti kidogo. Try kuvaa cut-off tee yako na high waisted bottoms( high waist suruali au upandishe legings/jegings), uzuri wa kuvaa high waisted bottoms na hii top nikwamba hata mtu mnene anaweza kuvaa na akafunika tumbo but still showcasing the style. ANGALIZO: sio lazima kila style inayo ingia lazima uivae.I believe comfort comes before style. Kwa wadada wembamba sio lazima kuvaa na high waisted bottoms unless hauko comfortable kuonyesha tumbo lako. Option nyingine ambayo mimi naipenda binafsi ni layering (kuivalia juu) ya vest na jeans kwa chini au kuivalia on top of a bodycon style dress au bandage dress(gauni ya kubana). Cut- off tees come in different shapes and sizes, kuna ambazo ni fupi tuu yani zina straight cut bila madoido yoyote na kuna zenye asymmetrical cut na hizi ndio kama ninazozionyesha hapo juu. Jipatie cut-off tee yako kwa 15,000/-TSH

Sunday, November 20, 2011

DOG TOOTH PATTERN a.k.a HOUNDS TOOTH PATTERN INAHUSIKA

For only 40,000/- wewe pia unaweza ukapendeza ndani ya dog tooth pattern kama hao ma star hapo chini. Hii shirt dress inaweza kuvaliwa from day to night. For a day look wear flat sandals and since wearing black and white is user friendly you can always add a pop of colour in your accessories. In this case a cocktail ring will do just fine kwasababu nguo yenye tayari ni nzuri haiitaji kusaidiwa na vibwagizo.Its always nice to play safe at times so for a night look you must choose to either go for a RED lip or opt for colorful accessories(ring,bangles ,clutch or shoes) kama model wetu hapo juu na kiatu cha rangi ya TEAL,what a great combo.   

Saturday, November 19, 2011

SPICE IT UP WITH PRINTED LEGGINGS

I must say katika vitu ambavyo napenda sana and I cant live without leggings ndio inashika mstari wa kwanza. Since leggings are proving to be a style that is here to stay, why not spice it up by rocking some printed more decorative pieces!?. I like the traditional solid colors (black, purple, white, grey) but I love leggings with funky or unique patterns. Cool patterns can be a definite fashion statement kama itavaliwa vizuri na nadhani sio ngumu.The key ni kuhakikisha u keep it simple na kua na confidence. model wetu hapo juu kuhakikisha simplicity kavaa tights na cut-off lace Tee na ka spice up the outfit na viatu.Top 15,000/-, leggings 15,000/- na viatu 25,000/-
Rihanna rocking printed tights.Printed tights is a fashion "do" when you balance the look from head-to-toe.

SHOPAHOLIC LOOK ALIKE:KIM KARDASHIAN

You too can look like a star without spending a fortune. Get the Nautical dress @ SHOPAHOLIC for only 30,000/-TSH
SHOPAHOLIC look alike. Kim K ndani ya kiwalo kama cha shopaholic.

Friday, November 18, 2011

NOVEMBER FLAT SHOES COLLECTION

Kwa wale wanao penda Colour blocking but hawana confidence yakuvaa rangi tofauti i suggest you try these OLD NAVY Purple and Grey Duo tone Ballerina flats.What a simple way to wear colour without being overwelmed by it.30,000/-
Multi Coloured Gladiator flats kama za beyonce nazo zipo kwa bei nafuu 30,000/-

Thursday, November 17, 2011

BAG OF THE WEEK:CHANNEL INSPIRED QUILTED HANDBAG

Our goal is to look hot and fashionable bila kuumiza mfuko.
Handbag hii iko inspired by CHANNEL. Nataka unielewe vizuri sio copy ya CHANNEL maana katika vitu ninavyo chukia ni kuvaa brand feki.Handbag ni leather,ina quilt design(vi boxi vya kashata),wooven chain shoulder straps,flap over na loki ya ku twist. Handbag inapatikana SHOPAHOLIC 35,000/-