Tuesday, November 22, 2011

THE RETURN OF THE CUT-OFF TEE

        

Uzuri wa Fashion hua inajirudia. The cut-off tee au maarufu kama “KI JUST BECAUSE” enzi za 80 na early 90 imerudi tena kwenye ulimwengu wa fashion,na this time around zimerudi kwa kishindo maana zimerudi namuundo tofauti kidogo. Try kuvaa cut-off tee yako na high waisted bottoms( high waist suruali au upandishe legings/jegings), uzuri wa kuvaa high waisted bottoms na hii top nikwamba hata mtu mnene anaweza kuvaa na akafunika tumbo but still showcasing the style. ANGALIZO: sio lazima kila style inayo ingia lazima uivae.I believe comfort comes before style. Kwa wadada wembamba sio lazima kuvaa na high waisted bottoms unless hauko comfortable kuonyesha tumbo lako. Option nyingine ambayo mimi naipenda binafsi ni layering (kuivalia juu) ya vest na jeans kwa chini au kuivalia on top of a bodycon style dress au bandage dress(gauni ya kubana). Cut- off tees come in different shapes and sizes, kuna ambazo ni fupi tuu yani zina straight cut bila madoido yoyote na kuna zenye asymmetrical cut na hizi ndio kama ninazozionyesha hapo juu. Jipatie cut-off tee yako kwa 15,000/-TSH

No comments:

Post a Comment