Thursday, December 1, 2011

SHOPAHOLIC IS MOURNING YOUR LOSS WINNIE KALINGA MAHUNDI.MY SWEET FRIEND,FAMILY FRIEND & SHOPAHOLIC CUSTOMER AND MODEL


MAY YOUR SOUL REST IN PEACE WINNIE.NAONA KAMA UTANI VILE JAMANI. ON MONDAY MORNING NIMEONGEA NA WEWE UKANIAMBIA UKO MUHIMBILI UNAMSUBIRIA DOCTOR. NIKAKWAMBIA UMWAMBIE AKUCHOME SINDANO YA UCHUNGU UZAE UKANIAMBIA INAUMA SANA. NIKAKWAMBIA UJIKAZE ITAUMA SEMA UKIZAA UTASAHAU. MANENO YAKO YA MWISHO KWANGU UKANIAMBIA ''UNAOGOPA SANA NIKUOMBEE''.I REMEMBER TELLING YOU USIOGOPE NITAKUOMBEA.THOSE WHERE YOUR LAST WORDS JIONI HUKUPATIKANA KWENYE SIMU. THE WHOLE OF TUESDAY HUKUPATIKANA.SADLY ENOUGH ON WEDNESDAY SIMU YA KIFO CHAKO NDIO ILIO NIAMSHA. ITS VERY HARD TO BELIEVE.BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE. I KNOW YOU ARE IN A BETTER PLACE. R.I.P
WINNIE ROCKING A BLACK AND WHITE PRINT MATERNITY
MAXI DRESS  FROM SHOPAHOLIC.WILL MISS YOU MAMA JORDAN

EEEHHH MUNGU MWENYE NGUVU, MUNGU MWENYE UPENDO, MUNGU MWENYE HURUMA, MUNGU ULIE MTAKATIFU WALA HAKUNA AWEZAE KUFANANISHWA NA WEWE NAWALETA WATOTO WA WINNIE MIKONONI MWAKO BWANA NIKIWAOMBEA ULINZI, USALAMA,AMANI,UPENDO, UJASIRI,HEKIMA NA UTU WEMA. MUNGU NAKUOMBA UKAWALINDE NA KUWATUNZA KWA NGUVU ZAKO NA UPENDO WAKO.KAMA WALIVYO MPOTEZA MAMA YAO WAKIWA WADOGO BWANA NAKUSII UKAWE PAMOJA NAO MAISHA YAO YOTE NA UKAJAZE HUO UPWEKE. BWANA HATA NA MUME WAKE NAKUOMBA UMLINDE NA KUMFARIJI ZAIDI YA YOTE BWANA NAKUOMBA AKAENDELEE KUA BABA MZURI KWAO. MUNGU NAKUKABIDHI FAMILIA YA MAHUNDI,MAMA YAKE WINNIE NA WADOGO ZAKE MIKONONI MWAKO KWAKUA NAAMINI WEWE NDIO UNAJUA YOTE NA UNAPANGA YOTE.NAKUOMBA UWALINDE,UWAFARIJI NA UKAWAPE AMANI MIOYONI MWAO. NAKUSHUKURU BWANA KWAKUA NINAAMINI UMESIKIA MAOMBI YANGU NA KWAMBA UTATENDA . AMINA.     

1 comment:

  1. iasee huyu dada nilipata taarifa zake kupitia fb book niliumia sana sipati kukwambia japo simjui ila story yake ilinihuzunisha mno na leo nakutana na pics zake hapa jaman dunian tunapita hakuna anaejua kesho itakuwaje, tumuombee watoto wake wakue katika upendo kama mama yao aliotarajia kuwapatia. R.I.P dada.

    Rose

    ReplyDelete