Thursday, December 29, 2011

SPOTTED GLADYS ROCKING SHOPAHOLIC

Spotted Gladys looking professionally chic in outfits from SHOPAHOLIC. Getting dressed for the office doesn't mean leaving your personal style behind. Kwa mahitaji ya nguo za ofisini kwa bei nafuu SHOPAHOLIC ndio jibu.

Pencil dresses na belts zipo

Floral full dresses na cardigans nazo zipo

office shirts za kila aina na rangi nazo zipo bila kusahau skinny belts


vikoti vya mikono mifupi navyo vipo
Viwalo vyakuvaa casual friday navyo vipo.

Huna sababu yakutopendeza kazini, kwa bei nafuu wewe pia unaweza ukapendeza kila siku kazini.wote mnakaribishwa

No comments:

Post a Comment