Sunday, December 18, 2011

WHAT I ROCKED ON PESH'S FAREWELL PARTYHey dolls, leo nimeona ni post some pictures I took back in 5th October on my friend PESH’S farewell party at Double Tree. Nimevaa nautical top (mistari mistari) 15,000/-, Tuxedo blazer 40,000/-, leggings 15,000/- , flat shoes 25,000/- na Pochi 35,000/-  . Kwa hesabu za haraka haraka the whole look only cost me 130,000/-. I’m extremely inlove with my tuxedo blazer. Yani ina cut bomba mno, kwa mbele ni fupi alafu kwa nyuma ni ndefu yani kama mkia kwahiyo inafunika vizuri. The blazer is very classy.On top of that ukiikunja mikononi ina lining nyeupe which I also love. What I’ve discovered ni kwamba nautical inapendeza ikiwa layered (kuvalia nguo nyingine kwa juu). So kama unaki top au dress ya nautical jaribu kuivalia na plain colour cardigan,waist coat,shrug au koti inapendeza mno.

SUPRIIIIISSEEEEE .It was a surprise and Pesh had no clue what so ever. So alivyokua anaingia akaona on the screen jina lake she was shocked..Ikabidi nichukue KODAK moment kama ukumbusho


No comments:

Post a Comment