Thursday, December 29, 2011

SPOT THE TREND: SLINKY FRINGE

Hello lovely people, Leo nimeamua kuanzisha section nyingine called SPOT THE TREND. Katika spot the trend nitakua naongelea mitindo mipya kwenye ulimwengu wa fashion. SPOT THE TREND kwa leo itakua inaongelea SLINKY FRINGE. Off late ma Celebrities wamekua wakionekana kwenye Red carpet wamevaa hii style ambayo pia designers wengi wameitumia kwenye collections zao za spring 2012. This style is very classy and elegant sema kwenye uvaaji usipo angalia unaweza ukachemka. To be on the safe side opt for a black or plain coloured fringe dress like GEORGIA JAGGER. Kwa wale confident fashionista then colour block au bold pattern is the style for you.
ANGALIZO: Slinky fringe iko busy sana kwasababu ya hizo kamba kamba kwahiyo hakikisha you tone it down when it comes to accessories ili look isiwe busy sana.


DO YOU THINK YOU CAN RISK TO INCORPORATE THIS 1920'S STYLE INTO YOUR WARDROBE IN 2012?

No comments:

Post a Comment