Friday, April 6, 2012

THE BIG DAY IS FINALLY HERE

Hello dolls, the day we have all been waiting for is finally here. Make sure you don't miss this amazing experience of shopping quality clothes at pocket friendly prices. Doors open from 9am to 9:30 pm. Make sure you tell a friend.
Wapenzi hii ndio ramani yakufika kwenye duka letu. Hope the map is detailed enough. Tunapatikana makumbusho karibia na usalama wa taifa. Opposite na main entrance ya geti la Usalama wa Taifa kuna showroom ya magari(SAMOYAZ) na restaurant (GOLDEN FORK). Unaingia hiyo njia (ambayo piya zamani ma basi ya kwenda mwenge yalikua yanaingilia). Ukifika mwisho wa njia unakata kushoto, mtaa wa kwanza kulia uwache then ingia kwenye mtaa wa pili kulia njoo mpaka mwisho wa mtaa ndio utakua umefika.

No comments:

Post a Comment