Monday, January 23, 2012

3 WAYS TO WEAR HIGH WAIST WIDE LEG PANTS

JANUARY STOCK SNEAK PEAK


HIZI NGUO ZOTE UNAZO ZIONA HAPO JUU ZITAKUWEPO TAREHE 28/01/2012 TUNAOMBA USIKOSE. TOPS ZOTE NI ELFU 15,000/- TUU NA SURUALI ZINA RANGE KATI YA ELFU 20,000/- MPAKA 40,000/-. WOTE MNAKARIBISHWA. TUNA UZA NGUO ZA SIZE 8-22 (UK SIZE) WOTE MNAKARIBISHWA. 

STAY STYLISH!!!!

1 comment:

  1. Hongera dada nguo zako nzuri najiandaa kuja, Mwezi huu unafungua lini tena? Siku njema na hongera sana sana. Isaria

    ReplyDelete