Wednesday, January 18, 2012

SHOP CELEBRITY CLOSET: KOURTNEY KARDASHIAN'S GIRLIE TOPS

 NEW STOCK SNEAK PEAK

Hey dolls hope you’re all good. My sincere apologies for not updating the blog. Leo NAONGEZA segment mpya called SHOP CELEBRITY CLOSET. Katika section hii nitakua namrusha celebrity/celebrities na nguo zao na nakukupa wewe mwana SHOPAHOLIC chance ya ku shop hizo style za ma celebrities ndani ya SHOPAHOLIC kwa bei nafuu. Leo hii kwenye SHOP CELEBRITY CLOSET nitam feuture mwanadada Kourtney Kardashian. I love kourtney’s sense of style because it’s so girlie and Lady like. Everything she wears is so sophisticated and chic. Mara chache sana kuona Kourtney amevaa nguo isiokua na detail eg bow tie, lace, ruffles, exaggerated collars or detailed arms. So nawe jiandae tarehe 28/1/2012 kununua mapigo kama ya Kourtney kwa elfu 15,000/- tuu, wote mnakaribishwa.


Ruffle detailed collar and chest for just 15,000/-

Coral Sheer pleat detail top 15,000/-

Ruffle detailed front for just 15,000/-

Drape front detail for just 15,000/-

Drape collar detail for only 15,000/-
 
Ruffle detail shoulders for only 15,000/-
 
Hizi tops na nyingine nyingi zitakuepo tarehe 28/01/2012 please reserve the date.

STAY STYLISH!!!!




 

No comments:

Post a Comment