Friday, January 13, 2012

SHOPAHOLIC LOOK ALIKE: SOPHIE MONK'S LOUIS VUITTON DAMIER EBEN BAG

NEW STOCK SNEAK PEAK

Hey dolls, kwenye SHOPAHOLIC LOOK ALIKE leo mdada Sophie Monk wa POPSTAR Australia kabeba Louis Vuitton  Damier Eben bag ambalo linapatikana SHOPAHOLIC kwa bei nafuu.

Kwa elfu 35,000/- tuu unaweza ukawa mmiliki wa hili begi ambalo liko inspired by Louis Vuitton. Usikose tarehe 28/1/2012 hili begi na mengine mengi yatakuwepo.No comments:

Post a Comment