Thursday, January 12, 2012

SHOPAHOLIC LOOK ALIKE: KOURTNEY & KIM K'S HANDBAG

NEW STOCK SNEAK PEAK

Hey dolls, i've already started counting down the dates and grand opening is 2 weeks away. I'm so excited cant wait. Please reserve the date (28/01/2012) and don't plan to miss. 

On SHOPAHOLIC LOOK ALIKE leo nime feature handbag ya Kourtney na Kim Kardashian ambayo itakuwepo kwenye mzigo wetu mpya utakao funguliwa mwisho wa mwezi huu usikose maana zaidi ya mabegi 70 ya design na style tofauti yatakuwepo.


Jipatie begi kama la Kourtney na Kim kwa elfu 35,000/- tuu

La kourtney la Cream letu Jeusi
  
La Kim k nae la Taupe

RANDOM THOUGHT: nilipo ona hawa wadada wawili wamebeba begi sare sare maua it kinda crossed my mind nikaishia kujiuliza kama celebrities nao wana azimana pochi. Nilivyo angalia kwa karibu nikaona kumbe ni rangi tofauti. lol random thought just crossed my mind

STAY STYLISH!!!

No comments:

Post a Comment