Tuesday, December 4, 2012

SHOPAHOLIC IS MOURNING YOUR LOSS LINDA


Hello, I'm sad beyond words and i'm still in shock and in denial that Linda is dead. Kwa wale regular customers wetu nadhani mnamjua Linda, mdada anaekaaga kuwaandikia receipt nakupokea hela. Linda ni ndugu yangu (mama yake na baba yangu ni ndugu) na pia ndio alikua kama accountant na stock keeper wa Shopaholic. Leo majira ya saa saba mchana wamepata ajali na bahati mbaya amefariki dunia. I'm still in shock kiasi cha kwamba nimekua numb, naona kama siamini kama kafa. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba hata sipo nchini kushuudia mazishi yake. Nimepigwa ganzi tangu kupokea hizi habari za kusikitisha za msiba wa Linda kiasi cha kwamba nahisi emotions zangu zimehama. Kumpata mtu mwaminifu, mchapa kazi na anaejituma nikazi ngumu sana hakika SHOPAHOLIC imepatwa na pigo kubwa na pengo ambalo kuja kuliziba itaitaji nguvu ya ziada.

Leo majira ya saa saba na nusu mchana nimepokea simu kutoka kwa Mariam ndugu wa Linda (upande wa baba yake) kua Linda amefariki. Linda alikua anaelekea Mbeya na Baba yake, step mom wake, mdogo wake na ndugu zake wengine wawili. Walikua maeneo ya Iringa gari yao ikagongwa na Lorry na watu wote kwenye gari wakafa hapo hapo kasoro Linda. Linda alifanikiwa kutoka kwenye gari akampigia simu Mariam  nakumueleza kua wamepata ajali nakua kila mtu kwenye gari kafa kasoro yeye sema alikua anasikia kichwa kina muuma sana na gafla simu ya Linda ikakatika. Mariam akaendelea kumpigia Linda simu bila mafanikio mwisho Police akapokea simu na kumwambia kua Linda amekimbizwa Hospitali huko Iringa maana alikua maututi. Baada ya mda tena Police wakampigia Mariam na kumwambia kua Linda nae kafariki dunia na ndipo nilipo pigiwa na Mariam simu nakupewa habari hiyo ya kusikitisha. I will miss you dearly my little sister  , gosh how I wish you had survived and hanged in there a little bit longer.   

Linda was just 24 years old, gone too soon. MAY YOUR SOUL REST IN ETERNAL PEACE.          

17 comments:

 1. Rest in peace,gone too soon

  ReplyDelete
 2. may ur soul rest in peace linda!

  ReplyDelete
 3. Rest in Peace, Linda. I remember her very well..msikivu and patient.

  ReplyDelete
 4. So sad. Pole sana. Rest In Peace Linda

  ReplyDelete
 5. My condolences to Shopaholics for this loss of our beloved Linda. May her soul rest in peace.

  ReplyDelete
 6. yaani muda huu ndipo nimepata habari nilihisi kupiga mayowe hapa kazini jamani. am so so very shocked, maisha yetu ni mafupi sana nadhani tulio hai tukazane kumpenda Mungu na kuwa watu wa maombi wakati wote ili kujiweka tayari.
  pole sana Olivia my dear.maumivu uliyonayo ni makali, Mungu pekee akufariji katika hili.

  ReplyDelete
 7. She was an angel on earth so am sure she's one in heaven now! Rest in peace dear Linda, we and Shopaholic will miss you dearly!

  ReplyDelete
 8. Masiki pole sana Olivia , R.I.P Linda

  ReplyDelete
 9. OMG just reading this...I'm so sorry for your loss...I just cant believe this I see and talk to her everytime I come there jamani am shooocked its very sad. Poleni sana sana. May her soul rest in eternal peace.

  ReplyDelete
 10. jamani RIP Linda loh gone too soon jamani

  ReplyDelete
 11. RIP Dear Linda gone to soon dear one

  ReplyDelete
 12. Binafsi simfahamu lakini imenigusa sana. Apumzike kwa amani. Poleni wafiwa wote.

  ReplyDelete
 13. jaman ndo kwanza leo nimepitia hi blog nakutana na hihabari japo nilisikia kwa news. Ila leo imeniuma sana poleni sana. R. I. P. LINDA

  ReplyDelete