Friday, December 14, 2012

NEW ARRIVALS WILL BE IN OUR STORE TOMORROW(15/12/2012)

Hello dolls, hope your all good and Friday is great. Tomorrow (15/12/2012) is the big day, New Arrivals will be in our shop. Doors open at 6:30 am- 8:00 pm( saa kumi na mbili na nusu asubui mpaka saa mbili usiku).

Blouse/top zote dukani kwetu ni elfu 15,000/- tuu, hakikisha haukosi. 

 10% OF THE PROCEEDS WILL GO TO LINDA'S MOM.

Print blouse zitakuwepo

Ruffle blouse zitakuwepo

Polka dot blouse zitakuwepoPointy Peter Pan collar is so in

Colorful blouse zitakuwepo
IMPORTANT NOTICE:
Naomba mniwie radhi nimelazimika kubadilisha mda wakufungua duka kutoka saa moja asubui kua saa kumi na mbili na nusu asubui kwasababu ya watu wanaoenda kaziki ili nao waweze kupata fursa yakuja kushop. Kwasababu nguo zote ni mtumba ni piece moja moja kwahiyo FIRST COME FIRST SERVE.

No comments:

Post a Comment