Wednesday, December 5, 2012

HII NDIO PICHA YA GARI WALIOPATA NALO AJALI WAKINA LINDA

Hii ndio picha ya gari waliopata nalo ajali wakina Linda. Picha courtesy of Francis godwin blog. Ningependa kurekebisha kidogo habari nilioisoma kwa blog ya Francis, Linda Ezekiel mwaiteleke sio House girl yeye ndio binti wa kwanza wa marehemu mzee Ezekiel Mwaiteleke. Happy Mwandike ndio alikua house girl.


No comments:

Post a Comment