Wednesday, July 4, 2012

SABA SABA SALE FRIDAY 6TH JULY

Hello lovely people, hope your good. Thank you my precious customers for your support on Saturday truly appreciate. I've got good news for all of you, this Friday (6th July) we are going to have a seven hour SALE starting from 1pm( saa saba mchana) to 7pm (saa moja usiku). Please tell your friends and family. Hii SALE itafanyika Ijumaa hii tuu kuanzia saa saba mchana mpaka saa moja usiku baada ya huo mda SALE itaisha kwahiyo nguo zote zitarudi kwenye bei zake za kawaida. Hakikisha haukosi fursa hii ya kipekee kabisa. Wote mnakaribishwa  

SABA SABA SALE PRICE LIST
Top/Blouse- 5,000/-
Dresses- 10,000/-
Skirts - 10,000/-
Trouser - 10,000/-
Blazer - 10,000/-


3 comments:

  1. Banda lenu litakuwa wapi? Am interested and can you post pictures za nguo zitakazokuwa available?

    ReplyDelete
  2. hello, unfortunately kutakana na mda kua mchache tumeshindwa kupiga picha nguo za sale lakini karibu sana hiyo kesho tutakua na nguo nzuri kwa bei nafuu. tumeshindwaTunapatikana makumbusho karibia na usalama wa taifa. Opposite na main entrance ya geti la Usalama wa Taifa kuna showroom ya magari (SAMOYAZ) na restaurant (GOLDEN FORK). Unaingia hiyo njia (ambayo piya zamani ma basi ya kwenda mwenge yalikua yanaingilia). Ukifika mwisho wa njia unakata kushoto, mtaa wa kwanza kulia uwache then ingia kwenye mtaa wa pili kulia njoo mpaka mwisho wa mtaa ndio utakua umefika.

    ReplyDelete
  3. So bumme I missed this! Any idea when you're next sale is going to happen?

    ReplyDelete