Monday, March 5, 2012

SHOPAHOLIC LOOK ALIKE:KENDALL JENNER & LINDSAY LOHAN JIMMY CHOO RAMONA SHOPPER BAG

Hello dolls!! Leo kwenye SHOPAHOLIC LOOK ALIKE nime feature JIMMY CHOO RAMONA HANDBAG. Celebrities kama Lindsay Lohan, Jessica Alba, Kendall Jenner, Keira Knightley na Nicole Richie wameonekana wakiwa wamebeba hili begi. Kwa bei kidogo tuu sasa linapatikana SHOPAHOLIC.  Haya mambo mazuri yote yatapatikana kwenye mzigo unaokuja.


Kwa elfu 60,000/- tuu unaweza ukawa mmiliki wa hili begi ambalo liko inspired by JIMMY CHOO. Mabegi yote ya elfu 60,000/- yanaletwa kwa order.


Kendall lake la dark brown


Lindsay Lohan lake la Dark blue

Keira knightley nae lake la cream

Jessica Alba nae lake jeusi

la Nicole nae la crocodile skin

No comments:

Post a Comment