Wednesday, March 7, 2012

HOW TO MATCH YOUR PIN STRIPE TROUSER WITH A STRIPE SHIRT

Morning fashion lovers, hope you're all good. Leo nimeona nitoe darasa kidogo juu ya kuvaa suruali yenye mistari. What I have realised is many people tend to only wear plain shirts/blouse when they wear pin stripe trousers. Why they shy away from wearing print or even dare to mix it is still a mystery to me but today i'll teach you how to break from that uncorfort zone and start enjoying your pin stripe trouser more. So in the case of the picture below model wetu kavaa pin stripe trouser ya grey so ku balance juu kavaa stripes ambazo ni kubwa zaidi na nene zaidi. Notice kwamba though mistara ya shati ni rangi ya pink base ya shati ni light grey, na hiyo hali ya suruali na shati kua kwenye jamii moja ya rangi inaunganisha hizo nguo mbili pamoja. Kwahiyo jaribu kua una hakikisha kua base colour ya nguo ya juu na chini zinaenda, when i say zinaendana namaanisha zinaweza kua jamii moja ya rangi kama model wetu alivyo vaa au zikawa complementary colours or event contrasting colours.      


STAY STYLISH!!

No comments:

Post a Comment