Monday, March 26, 2012

NEW STOCK: RUFFLE COLLECTION

Hello precious Jewels, hope your all good. My sincere apology for not blogging for the past week i've been extremely busy sorting out the New Stock. Kaeni tayari mzigo ndio unamalizia kuandaliwa, kutokana na wengi wenu kua kazini on saturdays for the first time nimeona niwape nyie mnao fanya kazi fursa ya kupata previledge yakuwepo tunapo fungua mzigo. Kwahiyo instead of kufungua mzigo Jumamosi ijayo ambayo ndio kawaida yetu( last saturday of the month) this time around tutafungua mzigo 6th-9th Easter long weekend so kuanzia Ijumaa kuu mpaka Easter Monday tutakua na mzigo mpya. Hakikisha hukosi.Mzigo utakua mwingi zaidi na mzuri zaidi na kama kawaida yetu bei ni poa. Please tell a friend. Below nimepost baadhi ya blouse za ruffle zitakazo kuwepo. kutakua na zaidi ya blouse/tops 350 za design na style tofauti kwa elfu 15,000/- tuu usikose.

kwa elfu 15,000/- tuu unaweza kujipatia hii blouse na nyingine nyingi

Blouse na tops zetu zote ni elfu 15,000/- tuuSTAY FABULOUS!!!

No comments:

Post a Comment