Friday, November 2, 2012

TOMORROW IS THE BIG DAY DON'T MISS

Hello darlings, Hope your good and Friday is great. Tomorrow (3/11/2012) is the big day please reserve the date and tell all your friends and family. Mambo ya Peplum blouses, skirts and dresses zitakuwepo hakikisha unajaribu kuwahi. Doors open @ 7am. 


Jipatie hii peplum dress ya ukweli kwa 40,000/- tuu 

 Jipatie Pink Peplum Skirt ya ukweli kwa elfu 40,000/- tuu

 
 Jipatie Peplum blouse ya ukweli kwa elfu 15,000/- tuu
  
 Tartan Print dress ndani ya SHOPAHOLIC kwa elfu 40,000/- 
Haya ma fashionista wenzangu, Tartan is on trend at the moment. Origin ya kitambaa cha Tartan ni Scotland( skirt wanazo vaa wanaume wa ki scottish).

FLORAL PRINT DRESS NAZO ZITAKUWEPO
 

SCARF PRINT DRESS NAZO ZITAKUWEPO


  KITU CHA BURGUNDY NDANI YA SHOPAHOLIC


 
STRETCH JODHPUR PANTS A.K.A RIDING PANTS NDANI YA SHOPAHOLIC

 PENCIL SKIRT NA BLOUSE ZITAKUWEPO

No comments:

Post a Comment