Tuesday, November 6, 2012

NEW BLOG IN THE BLOCK

Hey dolls, there is a new blog in town that all you fashionistas need to visit. Ina muhusu kila mtu maana watu wote kwa namna moja ama nyingine huwa mnaalikwa kwenye kitchen party ama sherehe zinazo hitaji kushona vitenge ama kanga. Siku hizi kitenge na khanga huvalika hata kazini na kwenye mitoko ya hapa na pale. With all that said I'm introducing to y'all Ventured Style blog. Zama humu kuingia Ventured style blog. Ventured Style (ambayo ilikua inaitwa BC House of Fashion) ni tailoring mart inayo patikana Sinza. Wanashona nguo za aina yote kwa bei nafuu. wote mnakaribishwa.
 Mambo ya B2A Peplum top na cropped pants hayo 


Mambo ya exposed back covered with lace 

 These lovely pictures where taken by Jarrtan a new hip photographer in town.I cannot wait to do a photoshoot with this creative mind. To view more of Jarrtan's work visit www.studiossamo.co.tz

No comments:

Post a Comment