Thursday, November 15, 2012

MASSIVE CHRISTMAS SALE STARTS TOMORROW (FRIDAY)

Hello dolls, hope your good. Massive Christmas sale inaanza kesho Friday (16/11/2012) make sure you don't miss. This happens to be our first Christmas sale so I'm looking forward to it. Everything will go for 5,000/- and 10,000/- only, so make sure you don't miss this once in a year special event. Doors open at 1:00pm-7pm ( Kuanzia lunch time mpaka saa moja usiku)

Top - 5,000/- Tsh
Coat - 5,000/- & 10,000/- Tsh
Dresses - 5,000/- & 10,000/- Tsh
Skirt - 5,000/- & 10,000/- Tsh
Trouser - 5,000/- & 10,000/- Tsh

Huyu mnyama atakuwepo kwa elfu 5,000/- tuu

elfu 5,000/- tuu 

 elfu 5,000/- tuu

 elfu 5,000/- tuu

Hii gauni itakuwepo kwa 10,000/- tuu

  

usikose hizi gauni zote na nyingine nyingi zitakuwepo kwa elfu 10,000/- tuu

Get this hot look for only 15,000/-

         Top 5,000/- & Skinny Jeans 10,000/-

SPECIAL NOTE:
Wapenzi naomba kuwakumbusheni kwamba huu ni mtumba kwahiyo nguo ni piece moja moja so FIRST COME FIRST SERVE. I get this all the time watu wanakuja wamechelewa alafu wanaulizio kitu walichoona kwenye blog. Naomba ujue kua hii post inatazamwa na ma elfu ya watu so ukipenda kitu jua kua someone else out there pia kakipenda. Kuwahi kwako ndio kutakusaidia wewe ukipate. So kuliko kulalamika nakuomba tuu ujaribu kuwahi.

No comments:

Post a Comment