Thursday, September 27, 2012

NEW STOCK THIS SATURDAY 29/09/2012


Happy Thursday to you all. Hope all is well with you.This is to all BONGO SHOPAHOLIC bbm friends, unfortunately my black berry has been off since Sunday (ilianguka na kupata minor damge ambayo ndio inashugulikiwa na tutarudi hewani leo mchana. Sincere apologies kama umetu add au kutuma sms bila majibu yoyote.

Watu wa Arusha tunawashukuruni sana kwa upendo wenu na hali yakua mstari wa mbele kuuliza mtapataje mzigo huko, maombi yenu yamesikika Wana Arusha kaeni tayari tunakuja kwa kishindo hivi karibuni tutawapa more updates sooon. Zaidi ya yote watu wote wa mikoa mingine yote nanyi hamjasaaulika tunawaandalia online shopping ambayo itaweza kukidhi haja zenu ni mda kidogo tuu tutaanza kuuza online nawaombeni mtuvumilie mpaka hapo tutakapo anza.

NEW STOCK WILL BE IN THIS SATURDAY (29/09/2012) PLEASE RESERVE THE DATE 

3 comments:

  1. mitumba ya ukweli sana uongo dhambi

    ReplyDelete
  2. Waooh!nimezipenda bt na size 8 jmn,wengine vmodo

    ReplyDelete
  3. duh! nice kama nini kesho nitakuja

    ReplyDelete