Thursday, September 6, 2012

HAPPY HOUR SALE TOMORROW( FRIDAY 7/9/2012)

Hello lovelies, hope your all good. I would like to thank everyone who came on Saturday to support us. Thank you, thank you,thank you. Words cannot explain what I feel inside. If it wasn't for your support SHOPAHOLIC wouldn't be where its at now. Mungu awabariki kwa upendo wenu. Kuwaonyesheni shukrani za dhati nilizo nazo kwenu nimewaandalia mambo mazuri Ijumaa hii. HAPPY HOUR SALE, hii SALE itakua ni ya masaa matano kwahiyo hakikisha haukosi. Tunakupa wewe mteja wetu wa thamani fursa ya ku shop na kusevu hela zako.Utajipatia viwalo vya ukweli kwa bei ya punguzo elfu tano mpaka elfu kumi tuu. Hakikisha haukosi fursa hii yaki pekee itakayo chukua takribani masaa matano tuu. Mwambie na shoga yako pia. Please spread the word. 

Blouse- 5,000/-
Skirts - 10,000/-
Trousers - 10,000/-
Dresses - 10,000/-
Coats - 10,000/-


HIVI NI VIONJO VYA BAADHI YA NGUO ZITAKAZO KUWEPO

 Hii gauni itakuwepo kwa elfu 10,000/- tuu original price 30,000/-

Hii gauni ya H & M itakuwepo kwa elfu 10,000/- tuu original price 40,000/-

   Hii gauni itakuwepo kwa elfu 10,000/- tuu original price 40,000/-

 Hii jumpsuit itakuwepo kwa elfu 10,000/- tuu original price 30,000/-

Wapenzi nawa sistizia tena kua hii SALE ni ya masaa matano tuu kwahiyo hakikisha haukosi. Jumamosi bei zetu zitarudi kua kama kawaida. Hii ndio shukrani yangu kwako wewe mteja wangu. Love you all and thanks once again for the support.

STAY BLESSED !!!!  

No comments:

Post a Comment