Wednesday, October 24, 2012

SPOT THE TREND: BURGUNDY

Happy Wednesday dolls, hope all is well with you. So as we all know Ulaya sasa hivi ni fall na wenzetu wanaenda kwa msimu. Burgundy(damu ya mzee) a.k.a Maroon a.k.a ox blood is the it colour at the moment. 

 Usikose tarehe 3/11/2012 hii suruali ya burgundy na blouse za burgundy zitakuwepo. SHOPAHOLIC iko kwaajili yako kuhakikisha unaenda na wakati kwa bei nafuu.


STAY FABULOUS!!!

No comments:

Post a Comment