Saturday, October 27, 2012

NEW ARRIVALS 3/11/2012

Happy Saturday to you all. hope all is well with you. sorry I have hardly found time in the past four days to update the blog, naomba mniwie radhi kwa hilo. Hya mambo mazuri yatakuwepo dukani kwetu jumamosi Ijayo 3/11/2012. hakikisha haukosi.

JIPATIE BLOUSE/TOPS ZA AINA TOFAUTI KWA ELFU 15,000/- TUU


Body con skits nazo zitakuwepo za size tofauti. Hii skirt inamtosha na kumkaa vizuri mtu mwenye shape ya aina yoyote. njoo SHOPAHOLIC ujipatie yako kwa bei nafuu.

POLKA DOT PETER PAN COLLAR KWA ELFU 15,000/- TUU

RUFFLE BLOUSES ZA AINA TOFAUTI ZITAKUWEPO KWA ELFU 15,000/- TUU

 stretchy pants nazo zitakuwepo hakikisha haukosi


kwa elfu 40,000/- njoo jipatie hii maxi dress na nyingine nyingi 
dresses za aina zote zitakuwepo refu na fupi, za kazini, zakushindia na zamitoko pia zitakuwepo.

No comments:

Post a Comment