Thursday, February 2, 2012

SPOT THE TREND: WIDE SHORTS

Morning precious jewels, hope your all good. Leo kwenye SPOT THE TREND ingizo jipya ni wide shorts. Na hivi Spring inakaribia huko majuu tutarajie kuona wide shorts. I love fashion na napenda kufuatilia trends but i must say hii trend nitaacha tuu inipite kwasababu i think wide shorts wont compliment my body. Wide shorts zinapendeza sana kwa watu wembamba na kuna wide shorts nyingine zina mishono mizuri sana (eg hiyo ya pink hapo chini ina muundo kama wa full skirt) kwahiyo kama unaona unaweza kuvaa hii style give it a try.

 STAY FABULOUS!!!!!

No comments:

Post a Comment