Wednesday, February 22, 2012

SNEAK PEEK: NEW STOCK HANDBAGS

Hello fashionistas, hope Wednesday has started great. Leo nimeona nianze ku post picha za handbags zitakazo kuwepo on our coming new stock. Nasikitika kutangaza kua kwasababu ya kuumwa kwakungu hatutoweza kufungua new stock on 25/02/2012 kama ilivyokua imepangwa, tarehe mpya yakufungua mzigo itatangazwa hivi karibuni.

HANDBAG ZOTE HAPA CHINI NI 35,000/-TSH EACH
STAY FABULOUS!!!!!

No comments:

Post a Comment