Tuesday, March 26, 2013

GOOD FRIDAY SALE THIS FRIDAY 29/03/2013

Happy Wednesday everyone, hope you are all good. How I miss blogging, it's been a while since I last checked in here my apologies for being quiet. Ok! so mambo yote Instagram siku hizi kwa wale msiokua na iPhone, iPad, Samsung au android phone basi mambo mazuri yanawapita but na habari njema.kuna kitu kinaitwa webstagram ni Kama Instagram ambayo una log in kupitia computer. So advantage ya webstagram unaweza kuview Instagram profiles za Watu kwenye computer. Disadvantage nikwamba huwezi ku upload pictures wala ku create account ya instagram but u can view people and their pictures.With that said ingia Google tafuta webstagram then search for @bongoshopaholic na unaweza ku view photos zote ninazo post unaweza ku comment na pia ku like. So please show us some love by following us on Instagram @bongoshopaholics.

Back to the topic this Friday( Ijumaa Kuu ) tarehe 29/03/2013 nimewaandalia SALE kabambe ambayo itafanyika Ndani ya masaa matano tuu kuanzia saa tatu asubui mpaka saa tisa jioni. Tops zote 5,000/-Tsh, skirts,Trouser,coat & dresses 10,000/-Tsh hakikisha hukosi. Naomba umwambie na shostito wako. Wote mnakaribishwa.

FOLLOW US ON INSTAGRAM @bongoshopaholics

No comments:

Post a Comment