Hello darlings, hope your all good and nane nane was great. Today on SPOT THE TREND I have featured Hollywood fashionistas rocking the
Fluted hem. The Fluted Hem can be in form of a skirt or a dress. This style is figure-flattering, it's slim along the waist and hips,
with a flared, ruffled hem hitting anywhere from mid-thigh to right
above the knee. Kinacho nishanganza ni kwamba Hollywood hii style ndio iko in sasa wakati ki bongo bongo hii ni moja ya mshono ambayo mafundi wengi wanapenda kushona. It is actually my go to style everytime nimealikwa kitchen party na sina mshono. What I usually do ni kushona ki skirt cha kibwaya then juu na vaa plain blouse. Kwenye pekua pekua kwenye archive ya picha ndani ya simu yangu this is what i came up with picha ya Doreen back in May na mimi hiyo picha nilipiga end of march au mwanzo wa may siko sure. So I decided to show you how Doreen & 1 rock our Fluted hem kitenge skirt.
Doreen is looking super hot. Love the way she has colour blocked the green skirt with purple heels. Simple sleek up do to finish her look. Absolutely amazing.
CURRENTLY TRENDING: Skirt ya kibwaya
Choker (a.k.a kaba koo) asante Shamim
CURRENTLY TRENDING: Kuvaa chocker (a.k.a kaba koo) juu ya blouse/shirt
CURRENTLY TRENDING: Sandal heels
Skirts zetu zimeshonwa BC House of Fashion. Kwa masiliano nao piga
0713 892919
STAY FABULOUS!!!
No comments:
Post a Comment